News and Resources Change View → Listing

UBALOZI UMEANDAA MAONESHO YA BIDHAA ZA TANZANIA NCHINI COMORO

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro umeandaa maonesho ya biashara ya bidhaa na huduma za Tanzania nchini Comoro tarehe 12 - 19 Desemba, 2022. Maonesho hayo yalifunguliwa rasmi tarehe 14…

Read More

MKUU WA MKOA WA MTWARA - TANZANIA ATEMBELEA COMORO

Mheshimiwa Kanali Ahmed Abass Ahmed, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara - Tanzania amefanya ziara ya kikazi katika kisiwa cha Ngazidja nchini Comoro tarehe 13 - 18 Desemba, 2022. Wakati wa ziara hiyo Mheshimiwa Mkuu wa…

Read More

BALOZI PEREIRA AKUTANA NA WANAFUNZI WALIOSHIRIKI SHINDANO LA UANDISHI WA INSHA

Mheshimiwa Pereira A. Silima, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na wanafunzi walioshiriki shindano la uandishi wa Insha na Usomaji wa Makala lililofanyika tarehe 7 Julai 2022 wakati wa…

Read More

BALOZI PEREIRA SILIMA ASHIRIKI UZINDUZI WA HUDUMA SHIRIKISHI ZA BENKI YA EXIM

Mheshimiwa Pereira A. Silima, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro ameshiriki hafla ya uzinduzi wa kuunganisha huduma za kibenki kati ya matawi ya Benki ya Exim yaliyopo nchini Tanzania na…

Read More

POLE KWA MHESHIMIWA RAIS WA ZANZIBAR NA FAMILIA YOTE

UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NCHINI COMORO UNATOA POLE MHESHIMIWA DKT. HUSSEIN ALI MWINYI, RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI PAMOJA NA FAMILIA YOTE KWA MSIBA WA KUONDOKEWA NA…

Read More

BALOZI PEREIRA SILIMA ASHIRIKI UZINDUZI WA SAFARI ZA KAMPUNI YA PRECISION

Mhe. Pereira A. Silima, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro ameshiriki uzinduzi wa safari za ndege za Shirika la Precision katika hafla ya iliyofanyika katika hoteli ya Golden Tulip Comoro…

Read More

BALOZI AKUTANA NA WATENDAJI KUTOKA HOSPITALI YA AGA KHAN TANZANIA

Ujumbe kutoka Hospitali ya Aga Khan ya nchini Tanzania ukiongozwa na Dkt. Fatma Bakshi, Mtaalamu wa Neva (Neurologist) umekutana na Mheshimiwa Pereira A. Silima, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Read More

COMORO YAADHIMISHA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeadhimisha siku ya Kiswahili Duniani. Tukio hilo limefanyika tarehe 7 Julai 2022 katika Ukumbi wa wanawake Moroni na kushirikisha Viongozi na wananchi mbali mbali.…

Read More