News and Resources Change View → Listing

TANZANIA KUENDELEA KUWA SALAMA

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaihakikishia Jumuiya ya Kimataifa na raia wa Mataifa yote kwamba Tanzania iko salama. Kadhalika, taasisi zinazohusika zinaendelea kuimarisha amani na usalama…

Read More

MAONESHO YA BIDHAA NA HUDUMA ZA TANZANIA NCHINI COMORO TAREHE 12 - 19 DESEMBA 2022

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Comoro utaandaa Maonesho ya Biashara ya Bidhaa na Huduma za Tanzania nchini Comoro kuanzia tarehe 12 - 19 Desemba 2022. Maonesho hayo…

Read More

SWAHILI INTERNATIONAL EXPO (S!TE 2022)  21 - 23 OCTOBER 2022 DAR ES SALAAM

The 6th Edition of Swahili International Expo (S!TE 22) will be held in Dar es Salaam from 21 - 23 October 2022. The event focuses on inbound and outbound travel drawing alot of tourism professionals. The…

Read More

DELEGATION FROM THE MINISTRY OF FINANCE OF COMOROS VISITS TANZANIA

A delegation led by Hon. Mr. Ibrahim Mohamed Abdourazack, Minister for Finance, Budget and Banking Sector of the Union of Comoros visited Tanzania from 27th - 29th January, 2025. Hon. Minister was scheduled…

Read More

COMORO NA TANZANIA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA ZA KIMKAKATI

Mheshimiwa Saidi Yakubu, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Visiwa vya Comoro amekutana na kufanya mazumgumzo na Mheshimiwa Azali Assoumani, Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro tarehe 16…

Read More

TANZANIA NA COMORO KUSHIRIKIANA KATIKA TEHAMA

Tanzania Comoro zaangazia ushirikiano katika TEHAMABalozi wa Tanzania nchini Comoro,Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya Kidijitali ya Comoro,Muinou…

Read More

UJUMBE KUTOKA IAA WATEMBELEA UBALOZINI

Prof. Eliamani Sedoyeka, Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha amefanya ziara ya kikazi nchini Comoro tarehe 3 - 6 Novemba, 2024 kufuatia mwaliko kutoka kwa Dkt. Ali Ibouroi Tabibou, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Comoro.…

Read More