MAONESHO YA BIDHAA NA HUDUMA ZA TANZANIA NCHINI COMORO TAREHE 12 - 19 DESEMBA 2022
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Comoro utaandaa Maonesho ya Biashara ya Bidhaa na Huduma za Tanzania nchini Comoro kuanzia tarehe 12 - 19 Desemba 2022. Maonesho hayo…
Read More