News and Resources Change View → Listing

MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI TAREHE 7 JULAI, 2024

Mheshimiwa Saidi Yakubu, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro anayo furaha kukualika katika Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili zitakazofanyika tarehe 7 Julai, 2024 . Eneo:…

Read More

BALOZI SAIDI YAKUBU AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO NCHINI COMORO

Mheshimiwa Saidi Yakubu, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Mheshimiwa Azali Assoumani, Rais wa Umoja wa Visiwa vya Comoro tarehe 2 Julai, 2024. Baada…

Read More

TANZIA: RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI (1925 - 2024) AFARIKI DUNIA

Kwa masikitiko makubwa, Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro unasikitika kuwajulisha msiba wa Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Read More

TANZIA:  MHE. EDWARD LOWASA, WAZIRI MKUU MSTAAFU (1953 - 2024) AMEAGA DUNIA

Kwa Masikitiko tumepokea na kusambaza kifo cha Mheshimiwa Edward Lowasa, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1953 - 2024) kilichotokea Jijini Dar es Salaam - Tanzania. Taarifa za mazishi…

Read More

THE END OF MARBURG VIRUS OUTBREAK IN KAGERA REGION - TANZANIA

 On 21 March 2023, the Ministry of Health Tanzania declared the presence of Marburg virus in Kagera Region - Tanzania. Since the outbreak and subsequent declaration, the Government in collaboration with…

Read More

TAARIFA KWA UMMA

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni salama. Wananchi na wageni waliopo nchini na wanaojiandaa kutembelea Tanzania wanatakiwa kuondosha wasiwasi na kupuuza kauli ovu zinazotolewa na vikundi mbali mbali. 

Read More

TANZANIA KUENDELEA KUWA SALAMA

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaihakikishia Jumuiya ya Kimataifa na raia wa Mataifa yote kwamba Tanzania iko salama. Kadhalika, taasisi zinazohusika zinaendelea kuimarisha amani na usalama…

Read More

MAONESHO YA BIDHAA NA HUDUMA ZA TANZANIA NCHINI COMORO TAREHE 12 - 19 DESEMBA 2022

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Comoro utaandaa Maonesho ya Biashara ya Bidhaa na Huduma za Tanzania nchini Comoro kuanzia tarehe 12 - 19 Desemba 2022. Maonesho hayo…

Read More