News and Resources Change View → Listing

BALOZI AKUTANA NA WATENDAJI KUTOKA HOSPITALI YA AGA KHAN TANZANIA

Ujumbe kutoka Hospitali ya Aga Khan ya nchini Tanzania ukiongozwa na Dkt. Fatma Bakshi, Mtaalamu wa Neva (Neurologist) umekutana na Mheshimiwa Pereira A. Silima, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Read More

COMORO YAADHIMISHA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeadhimisha siku ya Kiswahili Duniani. Tukio hilo limefanyika tarehe 7 Julai 2022 katika Ukumbi wa wanawake Moroni na kushirikisha Viongozi na wananchi mbali mbali.…

Read More

JWTZ YASHIRIKI GWARIDE LA UHURU COMORO

Kikundi cha Afisa mmoja na Askari 14 kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania walishiriki gwaride la kuadhimisha miaka 47 ya Uhuru wa Visiwa vya Comoro tarehe 6 Julai 2022. Kikunid hicho kimeshiriki…

Read More

KIKOSI CHA JWTZ CHATEMBELEA UBALOZINI

Kikundi cha Afisa mmoja na Askari 14 kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania kimetembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro na kukutana na Mheshimiwa Pereira A. Silima, Balozi wa…

Read More

GAVANA WA KISIWA CHA ANJOUAN ATEMBELEA MTWARA

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umefanikisha ziara ya Mheshimiwa Anissi Chamsidine, Gavana wa Kisiwa cha Anjouan kutembelea Mkoa wa Mtwara Tanzania kuanzia tarehe 02 - 05 Julai 2022. Lengo la ziara…

Read More

TANGAZO: SHINDANO LA UANDISHI WA INSHA

TANGAZO: SHINDANO LA UANDISHI WA INSHAUbalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro kwa kushirikiana na Jumuiya ya Urafiki baina ya Tanzania na Comoro na Jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini…

Read More

MKUU WA MKOA WA MTWARA AFUNGUA MAONESHO YA BIASHARA NA HUDUMA COMORO

Mheshimiwa Brig. Jen. Marco E. Gaguti, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara amefanya ziara ya kikazi nchini Comoro kuanzia tarehe 8 hadi 12 Mei 2022. Wakati wa ziara hiyo, Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa alifungua Maonesho ya…

Read More

MAONESHO YA BIASHARA NA HUDUMA ZA TANZANIA NCHINI COMORO TAREHE 8 - 16 MEI 2022

MAONESHO YA BIASHARA NA HUDUMA ZA TANZANIA NCHINI COMOROMuungano, Mshikamano Msingi wa MaendeleoUbalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unakukaribisha kushiriki maonesho ya biashara na huduma za Tanzania…

Read More