News and Events Change View → Listing

SHIRIKA LA BIMA LA ZANZIBAR LATARAJIA KUFUNGUA MATAWI YAKE VISIWANI COMORO

Kufuatia mwaliko kutoka Ubalozi wa Tanzania Visiwani Comoro, ujumbe kutoka Shirika la Bima la Zanzibar (Zanzibar Insurance Cooperation- ZIC) ulifanya ziara ya siku tano Visiwani kuanzia tarehe 21 – 25…

Read More

ZIARA YA UJUMBE WA WAFANYA BIASHARA KUTOKA TANZANIA VISIWANI COMORO

Ubalozi wa Tanzania Visiwani Comoro ulitoa mwaliko kwa jopo la wanfanya biashara mashuhuri nchini Tanzania kuja kufanya ziara ya kikazi Visiwani Comoro na kuangalia fursa mbalimbali za masoko kwa ajili ya…

Read More

UJUMBE KUTOKA HOSPITALI YA AGAKHAN WA KUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI COMORO

Ujumbe kutoka hospitali ya Agakhan Tanzania ulifanya ziara ya siku tatu Visiwani Comoro kwa ajili ya kuangalia fursa ya kufangua hospitali za Agakhan Visiwani hapa.Ujumbe huo uliwasili Comoro tarehe 21…

Read More

SERIKALI YA COMORO KUSHIRIKIANA NA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA ILIOPO DODOMA

Kama sehemu ya muendelezo wa ushirkiano katika Sekta ya Afya baina ya Tanzania na Comoro, Hospitali ya Benjamin Mkapa iliopo Dodoma imedhamiria kushirikiana na wadau wa Afya wa Comoro katika utoaji wa huduma…

Read More

UBALOZI WA TANZANIA, KOMORO WAADHIMISHA MIAKA 19 YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE

Katika harakati za kuendeleza kukuza na kuhuisha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Ubalozi wa Tanzania Visiwani Komoro kwa kushirikiana na Diaspora ya Watanzania Visiwani Komoro (TADICO) pamoja na taasisi ya…

Read More

BALOZI WA TANZANIA VISIWANI COMORO AKUTANA NA MABALOZI WA UGANDA NA INDONESIA TAREHE 24 OKTOBA, 2018

Mhe. Sylvester M. Mabumba, Balozi wa Tanzania Visiwani Comoro, leo alikutunana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uganda na Balozi wa Indonesia wenye makaazi yao nchini Dar Es Salaam, Tanzania.Balozi Mhe.…

Read More

UBALOZI WA TANZANIA VISIWANI COMORO WAADHIMISHA SIKU YA MWALIMU NYERERE TAREHE 13 OKTOBA, 2018

Ubalozi wa Tanzania Visiwani Comoro kwa kushirikiana na Umoja na Vijana Visiwani hapa ujilikanao kama Udjamaa wa Komori na Afrika Mashariki tarehe 13 Oktoba, 2018 uliadhimisha siku ya Mwalimu Nyerere (Nyerere…

Read More

MHE. BALOZI, SYLVESTER M. MABUMBA AFANYA MKUTANO NA DIASPORA YA WATANZANIA WAISHIO COMORO

Mhe. Sylevester M. Mabumba, Balozi wa Tanzania Visiwani Comoro alifanya kikao na Umoja wa Watanzania waishio Comoro (TADICO) tarehe 21 Oktoba, 2018. Mkutano huo ulifanyika katika chumba cha mkutano wa Ubalozi;…

Read More