News and Events Change View → Listing

ZIARA YA UJUMBE WA TPA NCHINI KOMORO

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandara ya Tanzania (Tanzania Port Authority) Eng. Kakoko na ujumbe wake walifanya ziara ya siku tatu visiwani komoro kuanzia tarehe 25-28 Juni 2018; dhumuni ya ziara hiyo ilikuwa…

Read More

Tanzanian traders eye business opportunities in Comoros Island

Tanzanian traders could reap much benefits from their venture into the foreign market.The bilateral trade relationship between Tanzania and Comoros Island has not been yielding much fruits. Comoros Island…

Read More

Wafanyabiashara wa Tanzania watakiwa kuchangamkia fursa Comoro

Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Silvester Mabumba amewataka wafanyabiashara wa Tanzania kuchangamkia fursa za kibiashara nchini Comoro kwani mazingira ya kibiashara nchini humo ni mazuri sana.Mabumba amesema…

Read More

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar watembelea Ofisi za Ubalozi

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar watembelea Ofisi za Ubalozi na kujionea utekelezaji wa shughuli za Ubalozi hususan zile za Kitengo Cha Uhamiaji.

Read More

Watanzania Wahimizwa Kuchangamkia Fursa Comoro

BALOZI wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Comoro,  Sylvester Mabumba ameupokea ujumbe wa Clouds Media Group uliowasili visiwani humo Januari 20 mwaka 2018.Upo kwenye ziara maalumu ya siku tatu…

Read More

Balozi wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Komoro awasilisha Hati za Utambulisho

Balozi wa Tanzania katika Muungano wa Visiwa vya Komoro Mhe. Sylvester M. Mabumba akiwasili katika Ikulu ya Komoro kwaajili ya hafla ya kuwasilisha Hati za Utambulisho, katika hafla ya kukabidhi Hati hizo…

Read More

Sylvester Mabumba, nouvel ambassadeur de Tanzanie à Moroni

Le président Azali a fait savoir au diplomate tanzanien que les Comoriens avaient toujours gardé en mémoire le soutien dont ont pu bénéficier les mouvements de libération nationale ainsi que l’accueil…

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Comoro aagwa kwa kutunikiwa Tuzo na Rais

Balozi wa Tanzania Visiwani Comoro Atunukiwa Medani ya Juu ya Heshima na Mhe. Azali Assoumani, Rais wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Tarehe 16 Februari 2017Balozi wa Tanzania ndani ya Muungano wa Visiwa vya…

Read More