News and Events Change View → Listing

Mabalozi wapya wa nchi mbalimbali watembelea Ofisi za Ubalozi

Mabalozi wa Czech na Zimbabwe wamtembelea Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ofisini kwake na kujadiliana kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano. 

Read More

ZIARA YA UJUMBE WA WAFANYA BIASHARA KUTOKA TANZANIA NCHINI COMORO

Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Tanzania uliwasili Visiwani Comoro kwa ajili ya kushiriki mkutano wa wafanyabiashara baina ya nchi hizo mbili (B2B Meeting) uliofanyika kuanzia tarehe 09-11 Julai, 2019.…

Read More

ZIARA RASMI YA MHE. SYLVESTER M. MABUMBA, BALOZI WA TANZANIA VISIWANI COMORO KWENDA VISIWANI ANJOUAN

Leo tarehe 27 Juni, 2019 Mhe. Sylvester M. Mabumba, Balozi wa Tanzania Visiwani Comoro ameenza ziara rasmi ya kikazi ya siku 4 katika Kisiwa cha Anjouan. Wakati akiwa Kisiwani Anjouan Mhe. Balozi anatarajiwa…

Read More
MKUTANO NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA USHIRIKA YA MECK (Mutuelle d’Epargne et de Credit ya Komor) MORONI

MKUTANO NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA USHIRIKA YA MECK (Mutuelle d’Epargne et de Credit ya Komor) MORONI

Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro, Bw. Thabit A. Khamis alifanya kikao na ujumbe kutoka Benki ya Ushirika ya Comoro ijulikanayo kwa MECK (Mutuelle d’Epargne et de Credit ya Komor) – Moroni.…

Read More

Online VISA Application (e-VISA)

This is to inform all Visa applicants and the general public that the United Republic of Tanzania has launched Online Visa Application System effective since 10th Jan, 2019. For those who wish to travel…

Read More

NOTICE TO TRAVELLERS PLANNING TO VISIT TANZANIA

NOTICE TO TRAVELLERS PLANNING TO VISIT TANZANIA

Read More
ZIARA YA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN VISIWANI COMORO

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA ZIARA COMORO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alihudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani tarehe 26 Mei, 2019.Sherehe hizo zilifanyika katika Mji wa…

Read More

MSANII MBOSO KU KUFANYA SHOW COMORO

Msanii wa kizazi kipya Mboso aliwasili Visiwani Comoro Tarehe 11 Aprili, 2019 ambapo alitarajiwa kufanya (show) ya aina yake Visiwani hapa tarehe 13 Aprili, 2019. Msanii huyo wa Bongo Fleva aliongozana na…

Read More