UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NCHINI COMORO UNATOA POLE MHESHIMIWA DKT. HUSSEIN ALI MWINYI, RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI PAMOJA NA FAMILIA YOTE KWA MSIBA WA KUONDOKEWA NA KIPENZI CHAO. MUNGU AIPUMZISHE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI, AAAMIIIN