Ubalozi kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania unadhamiria kuandaa Kongamano la Biashara na Uwekezaji katika sekta za Ujenzi, TEHAMA na Ujenzi tarehe 28 Aprili 2025 Moroni.