Mheshimiwa Saidi Yakubu, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro anayo furaha kukualika katika Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili zitakazofanyika tarehe 7 Julai, 2024 .
Eneo: Ukumbi wa Bunge la Taifa.
Mgeni Rasmi: Mheshimiwa Ibrahim MZE, Gavana wa Kisiwa cha Ngazidja.
Burudani kedekede itakuwepo
