Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni salama. Wananchi na wageni waliopo nchini na wanaojiandaa kutembelea Tanzania wanatakiwa kuondosha wasiwasi na kupuuza kauli ovu zinazotolewa na vikundi mbali mbali.