Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaihakikishia Jumuiya ya Kimataifa na raia wa Mataifa yote kwamba Tanzania iko salama. Kadhalika, taasisi zinazohusika zinaendelea kuimarisha amani na usalama katika maeneo yote ya nchi.