Mabalozi wa Czech na Zimbabwe wamtembelea Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ofisini kwake na kujadiliana kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano.