News and Events Change View → Listing

Mheshimiwa Balozi Yakubu ampokea Kaimu Mkuu wa Kituo Ubalozi wa Afrika Kusini

Mheshimiwa Saidi Yakubu, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro amempokea na kufanya mazungumzo na Bi. Nichola Sabelo, Kaimu Mkuu wa Kituo, Ubalozi wa Afrika Kusini nchini Comoro aliyefika…

Read More

BALOZI SAIDI YAKUBU AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE COMORO

Mhe. Saidi Yakubu, Balozi mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Comoro amewasilisha leo Jumanne tarehe 28 Mei 2024 Nakala ya Hati za Utambulisho kwa Waziri wa mambo ya Nje Mheshimiwa Doihir Dhoulkamal.…

Read More

MHESHIMIWA BALOZI PEREIRA SILIMA AAHIDI USHIRIKIANO NA KISIWA CHA ANJOUAN Februari 2024

Mheshimiwa Pereira A. Silima, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro amefanya ziara ya kikazi katika Kisiwa cha Anjouan tarehe 26 - 28 Februari 2024. Wakati wa ziara hiyo, Mheshimiwa Balozi…

Read More

UJUMBE KUTOKA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI TANZANIA WATEMBELEA BANDARI YA MORONI

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi nchini Tanzania, Dkt. Daniel Mushi akiambatana na Ujumbe wake pamoja na Watendaji wa Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro wametembelea Bandari ya Moroni tarehe 10…

Read More

WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI TANZANIA YAFANYA ZIARA COMORO Oktoba 2023

Dkt. Daniel Mushi, Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi - Tanzania ameongoza ujumbe wa watendaji wa Wizara hiyo kutembelea nchini Comoro tarehe 7 - 11 Oktoba 2023 kwa lengo la kuimarisha ushirikiano…

Read More

MAADHIMISHO YA MIAKA 59 YA MUUNGANO WA TANZANIA

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro umeadhimisha Sherehe za Miaka 59 ya Muungano wa Tanzania tarehe 26 Aprili, 2023. Maadhimisho hayo yamefanyika katika kijiji cha Milembeni mkoa wa…

Read More

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI COMORO ATEMBELEA TANZANIA

Mheshimiwa Mahamoud Fakridine, Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Comoro amefanya ziara ya kikazi nchini Tanzania tarehe 23 - 25 Machi, 2023. Wakati wa ziara hiyo, Mheshimiwa Waziri Mahamoud Fakridine aliambatana…

Read More

TANZANIA NA COMORO ZAANZISHA TUME YA PAMOJA YA KUDUMU YA USHIRIKIANO

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Muungano wa Visiwa vya Comoro zimesaini Hati ya Kuanzisha Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano. Makubaliano hayo yamesainiwa na Mheshimiwa Dkt. Stergomena L. Tax, Waziri…

Read More