ZIARA YA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN VISIWANI COMORO

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA ZIARA COMORO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alihudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Comoro Mhe. Azali Assoumani tarehe 26 Mei, 2019.Sherehe hizo zilifanyika katika Mji wa…

Read More

MSANII MBOSO KU KUFANYA SHOW COMORO

Msanii wa kizazi kipya Mboso aliwasili Visiwani Comoro Tarehe 11 Aprili, 2019 ambapo alitarajiwa kufanya (show) ya aina yake Visiwani hapa tarehe 13 Aprili, 2019. Msanii huyo wa Bongo Fleva aliongozana na…

Read More

SHIRIKA LA BIMA LA ZANZIBAR LATARAJIA KUFUNGUA MATAWI YAKE VISIWANI COMORO

Kufuatia mwaliko kutoka Ubalozi wa Tanzania Visiwani Comoro, ujumbe kutoka Shirika la Bima la Zanzibar (Zanzibar Insurance Cooperation- ZIC) ulifanya ziara ya siku tano Visiwani kuanzia tarehe 21 – 25…

Read More

ZIARA YA UJUMBE WA WAFANYA BIASHARA KUTOKA TANZANIA VISIWANI COMORO

Ubalozi wa Tanzania Visiwani Comoro ulitoa mwaliko kwa jopo la wanfanya biashara mashuhuri nchini Tanzania kuja kufanya ziara ya kikazi Visiwani Comoro na kuangalia fursa mbalimbali za masoko kwa ajili ya…

Read More

UJUMBE KUTOKA HOSPITALI YA AGAKHAN WA KUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI COMORO

Ujumbe kutoka hospitali ya Agakhan Tanzania ulifanya ziara ya siku tatu Visiwani Comoro kwa ajili ya kuangalia fursa ya kufangua hospitali za Agakhan Visiwani hapa.Ujumbe huo uliwasili Comoro tarehe 21…

Read More

SERIKALI YA COMORO KUSHIRIKIANA NA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA ILIOPO DODOMA

Kama sehemu ya muendelezo wa ushirkiano katika Sekta ya Afya baina ya Tanzania na Comoro, Hospitali ya Benjamin Mkapa iliopo Dodoma imedhamiria kushirikiana na wadau wa Afya wa Comoro katika utoaji wa huduma…

Read More
Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA)

Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA)

A thin mist swirls through an enchanted forest of lichen-draped trees. Hundreds of metres below, a hazy expanse of savannah dips towards an oval lake whose edges shimmer pink with countless fl amingos. As the…

Read More

UBALOZI WA TANZANIA, KOMORO WAADHIMISHA MIAKA 19 YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE

Katika harakati za kuendeleza kukuza na kuhuisha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Ubalozi wa Tanzania Visiwani Komoro kwa kushirikiana na Diaspora ya Watanzania Visiwani Komoro (TADICO) pamoja na taasisi ya…

Read More